Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Dira/Dhima

Dira

Kuwa na Usimamizi endelevu wa Rasilimali za Maji kwa ajili ya Ustawi wa Kijamii, kiuchumi na Kimazingira.

Dhima

Kuwezesha utekelezaji wa Usimamizi wa Pamoja wa Rasilimali za Maji kwa ufanisi na ufasaha ili kushughulikia mahitaji ya rasilimali, maslahi na vipaumbele vya wakazi wa Bonde huku tukilinda na kuhifadhi vyanzo vya maji.