Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

PICHA YA PAMOJA YA WAJUMBE WA BODI YA MAJI BONDE LA KATI


Wajumbe Bodi ya Maji Bonde la Kati wakiongozwa na mwenyekiti Bw.William Mabula katikati akiwa pamoja na wajumbe wenzake katika picha pamoja iliyopigwa 19/2/2026 katika ofisi kuu ya Bonde la Kati mjini Singida.

Picha hiyo imeonyesha mshikamano na, umoja wa  viongozi wa kuu wa Bodi pamoja wajumbe wa Bodi hiyo.