Habari
IDBWB; YAANZA UTAFITI WA KUPUNGUZA MAJI MIGODINI
Bodi ya Maji Bonde la Kati inafanya utafiti wa Maji chini ya Ardhi ili kupunguza maji katika Migodi( Dewatering).
Umuhimu wa utafiti huo ni kuwezesha kupunguza ama kuondoa kabisa Maji katika mashimo ya migodi wazi ( Open pit) na migodi ardhini ( Underground) .
Aidha utafiti huo una husisha uchimbaji wa visima virefu katika maeneo ya njia za mgodi (Shaft) ili kuweza kuvuta Maji hayo ardhini.

