Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Matangazo

Tangazo


Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Kati anawatangazia Wananchi na wadau wote wa Maji kuwa wakati huu wa maadhimisho ya wiki ya maji  Kitaifa kutakuwa na ofa ya punguzo la 30% kwa gharama za Maombi ya vibali vya matumizi ya maji, kuchimba visima virefu, kutiririsha maji taka, gharama za utafiti wa maji chini ya ardhi na gharama ya upimaji maji juu ya ardhi. Ofa hii inaanza tarehe16/03/2022 hadi 31/03/2022.