Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

MWENYEKITI: AONGOZA KIKAO CHA BODI


Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Bonde la Kati Bw. William Mabula  ameongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya saba tarehe 20/2/2026 katika ukumbi wa Bodi ya Maji Bonde la Kati Singida. 


Aidha mwenyekiti ameongea kuwa kikao hiki kinamaana kubwa ya kukumbushana majukumu ya Bodi na kutafuta ufafanuzi  wa mbinu ya vyanzo vya mapato ili Bodi iweze kusonga mbele kimaendeleo,pia alisisitiza mshikamano na umoja ndio nguzo kuu ya mafanikio.