Habari
IDBWB; YAFANYA MAFUNZO YA QMS.
Singida 1/6/2026 Bodi ya Maji Bonde la Kati inaendelea kufanya mafunzo ya ukaguzi wa ndani wa mfumo wa kudhibiti ubora (Quality management system Internet Audit training.
Mafunzo hayo yalianza tarehe 1/6/2026 na yatatamatika 5/6/2026 ambayo yanaendeshwa na wataalamu kutoka mamlaka wa hali ya hewa Tanzania (TMA)
Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo watumishi wa Bodi ya Maji Bonde la Kati kufanya ukaguzi wa ndani wa mfumo wa QMS sambamba na kufanya ukaguzi wa mfumo huo katika Bodi ya Maji Bonde la Kati.

