Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

DKT. HAWA SULEIMAN NKWELA MAKAMU MWENYEKITI BODI YA MAJI BONDE LA KATI


Dkt. Hawa Suleiman Nkwela mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Maji Bonde la Kati Tarehe 19/02/2026.

Aidha Dkt. Nkwela ametoa shukrani za dhati kwa wajumbe wa Bodi baada ya kuchaguliwa katika nafasi hiyo, pia alisisitiza maendelaeo katika taasisi yanahitaji ushirikiano, kuishi kwa upendo, kujitoa kwa dhati na kuheshimu viongozi ili kuleta maendeleo endelevu.