Habari
Wajumbe Bodi watembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzuia mchanga

Wajumbe wa Bodi ya Maji Bonde la Kati Watembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzuia mchanga ambalo limejengwa kwenye korongo la mandagaw linaloingiza mchanga kwenye chemchem ya Qang'dend