Habari
Wadau wa jukwaa la wadau kidakio cha ziwa manyara wakijadili changamoto

Wadau wa jukwaa la wadau kidakio cha ziwa manyara wakijadili changamoto zilizopo katika uhifadhi na utunzaji wa rasilimali za maji katika kidakio cha ziwa manyara.
Pia wametoa mapendekezo ya jinsi gani changamoto zilizopo zinaweza kutatuliwa na kuweka mapendekezo yao kwenye mpango mkakati wa kamati ya kidakio cha ziwa manyara