Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

Uzinduzi wa Mradi wa Uhifadhi Chanzo cha Maji Chemchemi za Qang'dend, Mto Mang'ola na Mto Baray


Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezinduwa mradi wa hifadhi Chanzo cha Maji Chemchemi za Qang'dend, Mto Mang'ola na Mto Baray