Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

UPIMAJI WA WINGI WA MAJI MTO BUBU KATIKA DARAJA LA FARKWA


Bodi ya Maji Bonde la Kati imefanya kazi ya upimaji wa wingi wa maji (Flow measurements)katika mto Bubu katika daraja la Farkwa ili kujua kiasi cha maji kinachopita katika mto huo pamoja na ukusanyaji wa sampuli za mchanga (Suspended sediment sampling collection) kwa ajili ya uchambuzi ili kujua kiasi cha mchanga kinachopatikana katika maji hayo.