Habari
MEASUREMENT OF WATER FLOW IN ERRI AND NAMBIS RIVER STUDIES

Bodi ya Maji Bonde la Kati imefanya kazi ya Upimaji wa wingi wa maji(flow measuments) katika vituo vya mto Erri na Nambis Wilayani Mbulu na Babati kwa lengo la kujua kiasi cha maji kinachopatikana katika vituo hivyo