Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

UPIMAJI WA MAJI MTO ERRI WAFANYIKA BABATI


Wataalamu wa Bodi ya Maji Bonde la Kati wameendelea na kazi ya upimaji maji kwenye mto Erri uliopo mjini babati kwa lengo la kusasisha safu ya ukadiriaji wa maji mto Erri