Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

UTAFITI WA MAJI CHINI YA ARDHI


Bodi ya Maji Bonde la Kati inaendelea na Kazi ya utafiti wa maji chini ya Ardhi wa kuvipatia vijiji vyote maji imeendelea kufanyika katika kijiji cha Landanai wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara