Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

UKARABATI WA BWAWA LA NGOFILA


Ukarabati wa bwawa la ngofila ambalo lipo wilaya ya kishapu Mkoani Shinyanga
Ukarabati huu unatekelezwa na Bodi ya Maji Bonde la Kati kupitia wataalamu wa ndani
Ujenzi ambaao umefikia asilimia 60%
Kazi zinazo endelea kutekelezwa ni pamoja na Ujenzi wa tuta, Birika la kunyweshea mifugo na uchimbaji wa eneo la kuhifadhia maji(water reserver