Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

UJENZI WA LAMBO(CHARCOAL DAM) KATIKA WILAYA YA IRAMBA(MISIGIRI)


Ujenzi wa Lambo/Bwawa Dogo(Charcoal Dam) ambalo lipo Wilaya ya Iramba(Misigiri) Mkoani Singida.

Ujenzi huu wa Lambo unatekelezwa na Wataalamu kutoka Bodi ya Maji Bonde la Kati.

Ujenzi huu wa Lambo umefikia asilimia 40%. kazi inayoendelea ni ujenzi wa tuta la Lambo