Habari
UJENZI WA BIRIKA LA KUNYWESHEA MIFUGO KATIKA KIJIJI CHA BUSHORA WILAYANI KISHAPU UMEKAMILIKA KWA 100%

UJENZI WA BIRIKA LA KUNYWESHEA MIFUGO KATIKA KIJIJI CHA BUSHORA WILAYANI KISHAPU UMEKAMILIKA KWA 100%.
Ujenzi wa birika la kunyweshea mifugo (Cattle Trough) lenye mita za ujazo kumi na tatu (13m3) katika Kijiji cha Bushora Wilayani Kishapu. Kazi ya ujenzi imekamilika kwa 100% na birika hili litakuwa na uwezo wa kuhudumia idadi ya mifugo ipatayo 1,833 katika Kijiji cha Bushora.