Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Leo Tarehe 8 Machi Wanawake wa Bodi ya Maji Bonde la Kati wameadhimisha siku ya wanawake duniania iliyokuwa na kauli mbiu "Wekeza kwa wanawake kuhakikisha maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii"