Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

Mafunzo kwa Wajumbe wa Bodi ya VI ya Maji Bonde la Kati


Bodi ya Maji Bonde la Kati imefanya mafunzo kwa wajumbe wa Bodi ya VI ya Maji Bonde la Kati. Lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uelewa juu ya majukumu ya Bodi na namna shughuli za Bonde zinzvyotekelezwa