Habari
KIKAO KAZI CHA WATUMISHI WA BODI YA MAJI BONDE LA KATI

Bodi ya Maji Bonde la Kati imefanya kikao kazi cha kujadili changamoto mbalimbali zinazopatina kwenye kila kitego kikao hicho kiliongozwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Kati Eng. Danford Samson ambapo watumishi wote walijadili changamoto zao wanazozipata kwenye vitengo vyao husika na kuwasilisha changamoto hizo ili zipatiwe ufumbuzi ili kuweza kuwepo na ufanisi mzuri wa kazi kwa Watumishi wa Bodi ya Maji Bonde la Kati katika utekelezaji wao wa Majukumu ya kila siku