Habari
KIKAO KAZI CHA WATUMISHI WA BODI YA MAJI BONDE LA KATI

Bodi ya Maji Bonde la Kati wakiongozwa na Mkurugenzi Eng. Danford Samson wamefanya kikao kazi ambacho kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Bodi ya Maji Bonde la Kati. lengo la kikao likiwa ni kuongeza ufanisi kwa watumishi ili waweze kutekeleza majukumu yao ya kila siku kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma.