Habari
KIKAO CHA UUNDAJI WA KAMATI YA KIDAKA MAJI CHA SIBITI

Bodi ya Maji Bonde la Kati imeandaa kikao cha Wadau mbalimbali kwa ajili ya kuunda kamati ya kidaka maji cha Sibiti(Sibiti Catchment committee) kwa lengo la kuendelea kulinda, kutunza, kuhifadhi na kusimamia Rasilimali za Maji katika kidaka maji cha Sibiti