Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

KAIMU MKURUGENZI BODI YA MAJI BONDE LA KATI AKITOA SALAMU NA UTAMBULISHO


Kaimu Mkurugenzi Bonde la kati Eng. Mwita Chacha Mwita akitoa Salamu na Utambulisho wa wadau mbalimbali waliohudhuria kikao cha uundaji wa kidakio cha ziwa manyara