Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Habari

UTAFITI WA MAJI CHINI YA ARDHI


Bodi ya Maji Bonde la kati inaendelea na utafiti wa maji chini ya ardhi kupitia programu ya kuvipatia vijiji vyote maji katika wilaya ya Mbulu na Hanang Mkoa wa Manyara