UJENZI WA LAMBO(CHARCOAL DAM) KATIKA WILAYA YA IRAMBA(MISIGIRI)

Ujenzi wa Rambo/Bwawa Dogo(Charcoal Dam) ambalo lipo Wilaya ya Iramba(Misigiri) Mkoani Singida.
Ujenzi huu wa Rambo unatekelezwa na Wataalamu kutoka Bodi ya Maji Bonde la Kati.
Ujenzi huu wa Rambo umefikia asilimia 40%. kazi inayoendelea ni ujenzi wa tuta la rambo