Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Mkutano wa sita wa Bodi ya Tano

Mkutano wa sita wa Bodi ya tano ya Bonde la Kati unatarajiwa kufanyika tarehe 06 Agosti, 2021 katika Ofisi ya Jumuiya ya Watumia Maji Bonde Dogo la Mto wa Mbu Wilayani Monduli