SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Leo Tarehe 8 Machi Wanawake wa Bodi ya Maji Bonde la Kati wameadhimisha siku ya Wanawake duniani iliyokuwa na kauli mbiu "Wekeza kwa wanawake kuhakikisha maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii"