Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

UPIMAJI WA WINGI WA MAJI KATIKA VITUO VYA MTO ERRI NA NAMBIS

Bodi ya Maji Bonde la Kati imefanya kazi ya Upimaji wa wingi wa maji(flow measuments) katika vituo vya mto Erri na Nambis Wilayani Mbulu na Babati kwa lengo la kujua kiasi cha maji kinachopatikana katika vituo hivyo