Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Bodi ya Maji Bonde la Kati

Tahadhali ya Mvua Kubwa

Bodi ya Maji Bonda la inapenda kuwangazia wananchi wote wanaoishi karibu na maziwa ya singida,kindai na Munang kuchukua tahadhali ili kuepukana na kukumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.