Habari
UKARABATI BWAWA LA NANJA UKIENDELEA

Timu ya watalaam yafanikiwa kudhibiti maji yaliyokuwa yanatoroka kutoka bwawa la Nanja baada ya kupasuka na kuruhusu maji kutoroka kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Pia tayari barabara ya kupitisha mawe na vifusi imekamilika. Hatua inayofuata ni kuendelea na ujenzi wa sehemu ya tuta iliyobomoka na utoro wake wa maji.